Changes

Jump to navigation Jump to search
no edit summary
Line 1: Line 1:  
MISAMIATI YA UTAWALA WA MTANDAO

MISAMIATI YA UTAWALA WA MTANDAO

A
+
<br>
 +
'''A'''
 +
<br>
 
ACTA (Anti-Counterfeiting Trade Agreement)
Ni pendekezo la mkataba wa kimataifa uliotiwa sahihi mnamo 2011 kwa ajili ya kubuni sheria za haki miliki.
https://www.eff.org/issues/acta  
 
ADR (Alternative Dispute Resolution)
Ni njia mbadala ya kisheria inayoruhusu wanaozozana haswa kwenye maswala ya mtandao, kusulihisha migogoro nje ya mahakama kupitia mashauriano na maelewano.
 
AfIGF (Africa IGF)
Ni kongamano la utawala wa mtandao la eneo ya bara Afrika linalofanyika kila mwaka kujadili maswala ibuka yenye umuhimu kwenye mtandao na matumizi yake mfan usalama, ujasusi n.k
 
AFRINIC (African Network Information Center) 
Ni mojawapo ya mashirika matano ya kimaeneno(RIRs) yenye kutoa rasilimali za mtandao. AFRINIC inawakilisha bara la Africa na ukanda wa bahari ya bara hindi. Shirika la AFRINIC lilianzishwa February 22, 2005 na makao yake makuu ni mji wa Ebene, Mauritius. 
Mkurugenzi mkuu wa AFRINIC ni Alan Barrett kutoka Afrika Kusini.
http://www.afrinic.net/  
 
AFRISIG (African School of Internet Governance)
Ni mradi unaolenga kuwahudumia waandaaji na wazungumzaji wa makongamano ya utawala wa mtandao kimataifa, kimaeneo, na kitaifa kwenye eneo la AFRINIC kupitia kozi za hali ya juu zinazoshughulikia mijadala ya utawala wa mtandao.
Darasa la kwanza la AFRISIG liliandaliwa Durban, Afrika Kusini kutoka 10-12, likiwalenga washiriki 35 kutoka mataifa 15 ya Afrika

Darasa la pili la AFRISIG liliandaliwa Mauritius kutoka 21-25 Novemba 2014, na kushirikisha washiriki 50 kutoka mataifa 20 ya Afrika
Darasa la tatu la AFRISIG liliandaliwa Addis Ababa, Uhabeshi: 1-5, Septemba 2015. #AfriSIG2015, ilhali la nne
 
AfTLD (The Africa Top Level Domains Organization) 
afTLD ni ushirikiano wa wasajili wa majina ya ngazi ya juu mtandaoni kwa nchi zilizopo (ccTLD) barani Afrika. Lengo kuu la AfTLD ni kusaidia wasajili wa ccTLD kujadili maswala ibuka yanayoguzia uendeshaji wa ccTLD, na vile vile kutoa msimamo mmoja kuhusu changamoto za mfumo wa majina (DNS) duniani.

AIS (Africa Internet Summit)
Ni kongamano linaloandaliwa kila mwaka na AFRINIC ili kuwaleta pamoja washika dau tofauti tofauti ili kujadili maswala nyeti yenye umuhimu kwa maendeleo ya mtandao barani Africa. Mwaka huu (2016), kongamano hili limefanyika jijini Gaborone, Botswana.

APC (Association for Progressive Communications)
Ni shirika na vile vile mtandao wa kimataifa wa mashirika ya kijamii wenye malengo ya kuwezesha mashirika na watu binafsi kupata huduma nafuu za mtandao kwa ajili ya maendeleo.
APC ina wanachama 50 katika mataifa 35, mengi yayo yakiwa kutoka mataifa yanayoendelea.
APC ilianzishwa mnamo 1990 na inaongozwa na sheria za jimbo la California.
Afisi kuu ya uendeshaji shughuli za APC ipo Johannesburg, Afrika kusini.
http://www.apc.org/  
 
APNIC (Asia-Pacific Network Information Centre)
 
Mojawapo wa mashirika matano ya kimaeneo (RIRs) yenye kutoa rasilmali za mtandao. APNIC inawakilisha bara Asia na eneo la bahari ya kusini 
http://www.apnic.net/  
 
APSIG (Asia Pacific School of Internet Governance)
Ni mradi unaolenga kuwahudumia waandaaji na wazungumzaji wa makongamano ya utawala wa mtandao kimataifa, kimaeneo, na kitaifa kwenye eneo la APNIC kupitia kozi za hali ya juu zinazoshughulikia mijadala ya utawala wa mtandao.
 
ARIN (American Registry for Internet Numbers)
Mojawapo wa mashirika matano ya kimaeneo (RIRs)yenye kutoa rasilmali za mtandao. ARIN inawakilisha Marekani ya kaskazini (Amerika, Canada, na maeneo ya Karibea na Antarctica).
https://www.arin.net/  
 
ARPANET (Advanced Research Project Networks Agency Network)
Mradi wa utafiti na kimasomo uliotangulia mtandao.
http://computer.howstuffworks.com/arpanet.htm  
 
AT & T
Shirika la simu na simu ya upepo la Marekani.  
 
http://www.att.com/shop/internet/internet-service.html#fbid=5AH6V5gJ_ps  
 
• Ni kampuni kubwa ya mawasiliano inayotoa huduma za simu na mtandao.  
 
AUC (Africa Union Commission)
Kamati kuu ya umoja wa Afrika inayotumikia kama tawi kuu au sehemu ya ukatibu katika umoja wa Afrika (AU), mithili na umoja wa ulaya (EU). AUC inajumuisha makamishna wanaoshughulikia  sehemu tofauti tofauti za sera. Makao yake makuu ni jijini Addis Ababa, Uhabeshi.
 
Navigation menu